Friday, 7 October 2011
Apple - Introducing Siri on iPhone 4S
Friday, October 07, 2011
Chief Editor
No comments
Apple bado wana mengi ya kutuletea na kubadilisha jinsi tunavyoishi. Hivi karibuni wameonyesha jinsi watumiaji wa iPhone watakavyoweza kuitumia device hiyo tofauti kabisa na yulivyozoea. Kwenye video hapa utaona description ya nini kitakachotokea...very interesting.
0 comments:
Post a Comment