Kama una website au blog yako, serch engine optimisation ni muhimu kujua. SEO ni technique inayosaidia website yako kupatikana kirahisi pale mtu anapokuwa anatafuta (search) vitu mbali mbali online. Kwa mfano kwa kutumia Google mtu anaweza akawa anatafuta maelezo kuhusu milima iliyoko Afrika. Kama una website au blog inayorusha maswala haya, ili ya kwako iwe juu kabisa (kumbuka zipo blog na website nyingine nyingi) unatakiwa kutumia SEO. Kwa kutumia SEO unaongeza wasomaji wa blog yako na kukusaidia kufikia wengi zaidi.
Tazama video hii hapa itakupa maelezo zaidi
Kutoka blog ya teknolojia :
http://it4dev.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment