Wednesday, 14 September 2011

Tanzania Yaripotiwa na CNN : Jinsi IT inavyoleta maendeleo



Maendeleo ya IT Tanzania yameendelea kugusa maisha ya wengi mjini na vijijini. Kuanzia mwalimu mpaka mkulima, kwa mfanyabiashara na hata mfanyakazi wa ofisini, IT inaipeleka Tanzania kunakotakiwa. CNN imeripoti maendeleo hayo - tazama video hii



0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

 
Design by Goodluck Mboya | Bloggerized by IT4Dev - Premium Design