Thursday 8 September 2011

Anza kuuza au kununua kifaa chako cha tecknolojia kwa bei nzuri kwenye blog yako leo!

Tumepata maombi kutoka kwa wasomaji wetu kwamba itakuwa ni vizuri kama tutaanza kutangaza kwenye blog hii vitu mbali mbali vya electronics vinavyouzwa na wasomaji wetu. Inaonyesha kwamba wapo wanaohitaji kununua na vile vile wapo wanaotaka kuuza. Hivyo basi kwa sababu hii, tunawapa wasomaji wetu uhuru wa kutangaza vitu wanavyotaka kuuza BURE kabisa kupitia blog yenu. Vitu hivyo ni kama:

Simu za mkononi,
Computer Software and Hardware,
Vitabu na majarida ya teknolojia,
na vinginevyo

Tutumie maelezo (specifications) ya kitu unachotaka kununua au kuuza. Weka picha ili kuvutia wengi. Hakikisha unawapa wasomaji bei inayoridhisha na pale unapouza kifaa, hakikisha unaeleza hali (condition) yake.

WOTE MNAKARIBISHWA

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

 
Design by Goodluck Mboya | Bloggerized by IT4Dev - Premium Design